sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Habari wana JF, poleni kwa mihangaiko ya kusukuma mbele maisha.
Back to topic: Nina binti yangu ana miaka miaka miwili na miezi kumi, yapata katika kipindi cha miezi mitano sasa, kwa nyakati tofauti amekuwa joto la mwili wake kupanda kuliko kawaida. Kila akipelekwa hosptali kupata vipimo, kama damu, mkojo, haja kubwa; majibu hutoka kuwa hasumbuliwi na tatizo lolote, hususani maralia, typhoid, amoeba, U.T.I. Ila kila mara majibu ya daktari husema ana MCHAFUKO KATIKA DAMU.
Hivyo wana JF naomba kujuzwa, hilo tatizo ni nini hasa, vyanzo vyake ni nini, na matibabu yake ni yapi.
Kinachonishangaza, katika hali yote hiyo ya joto kupanda, mwanangu huwa yupo normal kabisa na anacheza vizuri tu, kiasi kwamba ni vigumu kumtambua kama anaumwa.
ASANTENI