Mchafuko wa damu kwa mtoto

Mchafuko wa damu kwa mtoto

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
Habari wana JF, poleni kwa mihangaiko ya kusukuma mbele maisha.

Back to topic: Nina binti yangu ana miaka miaka miwili na miezi kumi, yapata katika kipindi cha miezi mitano sasa, kwa nyakati tofauti amekuwa joto la mwili wake kupanda kuliko kawaida. Kila akipelekwa hosptali kupata vipimo, kama damu, mkojo, haja kubwa; majibu hutoka kuwa hasumbuliwi na tatizo lolote, hususani maralia, typhoid, amoeba, U.T.I. Ila kila mara majibu ya daktari husema ana MCHAFUKO KATIKA DAMU.

Hivyo wana JF naomba kujuzwa, hilo tatizo ni nini hasa, vyanzo vyake ni nini, na matibabu yake ni yapi.

Kinachonishangaza, katika hali yote hiyo ya joto kupanda, mwanangu huwa yupo normal kabisa na anacheza vizuri tu, kiasi kwamba ni vigumu kumtambua kama anaumwa.

ASANTENI
 
Ni infection akifanyiwa blood culture watajua bacteria wanaomsumbua na daktari ataanzia hapo.
 
Wana JF. Hii thread ni ya muda kidogo. Lakini kunq msemo wa "Old is Gold"

Naomba kufahamu iwapo mhusika alipata suluhusho la changamoto iliyokua ikimpata mwanae. Mimi pia nina mwanangu wa umri wa mwaka mmoja. Amekua akipata homa mara kwa mara inayoambatana na dalili za kikohozi, na unakuta ni wiki mbili tuu tangu tulipotoka hospitali Kila tukienda hopsital tofauti tofauti majibu ni mchafuko wa damu kinachobadilika ni idadi ya bacteria na kuishia kupewa antibiotics.

Naomba ushauri wanaJF ili kupata suluhu ya tatizo hili.
 
Back
Top Bottom