and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nawapongeza wachaga Kwa kuchangamkia fursa iwe kwenye Biashara, Siasa au hata Dini
NB: Uzuri wana nidhamu Sana katika kutafuta na matumizi, na vitu vinaonekana tofauti na ndugu zetu wa Pwani (Tanga, Pwani, Moro, Mtwara, Lindi na Dar) wao hawapendi kazi Ila starehe kama kazi.