Mchaga vs Mkinga

Mchaga vs Mkinga

Upumbavu kweli huu ! Ukabila,,, ! Focus na mambo yako na kipato chako,,, ! Utajiri wa mkinga, mchaga , msukuma hautakunufaisha au kukuletea kibaba cha unga ule na familia yako. ,,, shit
Umeulizwa swali toa jibu kama huna kausha,kwani watu wanaofanya tafiti za vitu mbalimbali wanafanya ili wapeleke majumbani kwao ugali??

Ukabila upo,na ndio maana kila eneo lina kabila lake,na watu hutofautiana kwa jamii na tamaduni.
 
Kati ya Mangi na mkinga yupo ni hatari zaidi kwenye issue ya business, highest IQ, risk management n.k?

Wadau 🫴🏻🫴🏻🫴🏻uwanja ni wenu
Mkinga bdo sana labda tu unawaona hapo kariakoo wanasumbua na vijipesa vya shamban kwa uzaa miti mchagga anapga business mpaka ulaya sasa mkinga anaingiaje hapo? Kwa ushndan
 
Mkui ili ufanye business vizuri unatakiwa uwe na shule,wachaga wana shule huku wakinga hawana shule.
Takwimu za matajiri 100 katika Dunia zinaonesha 88% wana degree.hivyo ukiweka hiyo kama sample yako maana yake wachaga ni zaidi maana wana shule.

Mchaga yupo kwenye biashara kila Mkoa kasoro huo Mkoa wa Njombe ndio hawapo qengi lakini Mkinga yeye yupo Dar na huko Njombe tu.
 
Huyu jamaa haelewi Yani kutokana na tamaduni za watu utofauti unaonekana Kuna muda nikitoa mfano Wamasai na wasukuma wapo vizuri kwenye ufugaji sidhani kama Kuna kabila linalowazidi hawa watu ila tukija kwenye mambo ya biashara wachaga wengi na wakinga hujikita sana kwenye biashara
 
Mkinga bdo sana labda tu unawaona hapo kariakoo wanasumbua na vijipesa vya shamban kwa uzaa miti mchagga anapga business mpaka ulaya sasa mkinga anaingiaje hapo? Kwa ushndan
Aise ila ukipita haya maeneo kuanzia Njombe mpaka Iringa aise hizo scania ni nyingi na wakinga wengi ni biashara ya mbao sanasana ila kwa Mangi kweli biashara zao 🔥🔥🔥
 
Mkui ili ufanye business vizuri unatakiwa uwe na shule,wachaga wana shule huku wakinga hawana shule.
Takwimu za matajiri 100 katika Dunia zinaonesha 88% wana degree.hivyo ukiweka hiyo kama sample yako maana yake wachaga ni zaidi maana wana shule.

Mchaga yupo kwenye biashara kila Mkoa kasoro huo Mkoa wa Njombe ndio hawapo qengi lakini Mkinga yeye yupo Dar na huko Njombe tu.
Aise lakini watu wengi Duniani about 80%(estimated) ya top 10 Matajiri duniani ni school dropout japo wamesoma
 
Mchina huyu hana mpinzani.
WAchina 10 tu wakimwagwa hapo kariakoo utasikia vilio kama mashabiki wa yanga
Wachaga ni mashoga, yakianza kuwashwa utayajua. Sijawahi ona kabila la hovyo km wachaga, watu wenyewe mafukara yanayozurura mikoa mbali×2 kutafuta riziki lakini misifa ya uwongo ya kipumbavu. Mwawashwagwa na nini nyie mabwege?
 
Kati ya Mangi na mkinga yupo ni hatari zaidi kwenye issue ya business, highest IQ, risk management n.k?

Wadau 🫴🏻🫴🏻🫴🏻uwanja ni wenu
Wote wezi, wote washirikina japo mmoja kati yao ana akili kuliko mwingine, huyo mmoja akiona maji ni ya moto huwa anatokaga kwanza kwenye umbwe la ushirikina na kuamua kutumia akili.
 
Duh una uhakika holders wa biggest business in Tanzania wengi sio wachaga
Wachaga ni mashoga, yakianza kuwashwa utayajua. Sijawahi ona kabila la hovyo km wachaga, watu wenyewe mafukara yanayozurura mikoa mbali×2 kutafuta riziki lakini misifa ya uwongo ya kipumbavu. Mwawashwagwa na nini nyie mabweg
 
Back
Top Bottom