"Niko kilimani naranda nangojea pijo kupanda"
"Nani ajuae Nyerere ni mwenye! Aaaje-aajee simba mtu!"
"Kaburu matata hiyaaa-hiyaa"
Hiyo ya Kaburu matata hiyaa ilikuwa bomba sana sisi tulikuwa tunasoma na mibaba mizima sasa yenyewe ndo inakuwa inatoa Bass kwenye kuitikia ile Hiyaaaa!
Mwingine ulikuwa unasema "KAMBONAAAA! AMEOLEWA, WAPI? HUKO ULAYA"
BANDA WA MALAWI, KATUVALIA NGOZI YA SIMBA KUTUTISHIA WATANZANIA, HATUJALI
Kipindi hicho shule ilikuwa na raha zake, sasa hawa wa sasa hivi masikini sijui hata kama wanakimbia mchakamchaka!!
Mkuu wangu Bugota wewe ni mshenzi kichaa wangu!!Nina nyimbo kibao hapa:
1. Mchaka mchaka chinja..... Aliselema Alija.....
2. Alisemaa, alisema. Alisema Nyerere, alisema, vijana wangu twende mchaka mchaka
3. Ntuji ondono adina na Sabo, alisobelwa na ganamhala .... Bayanda Ba lalucha Miso Guti Mbiti ilolile Gali ( Huu ni wa Kisukuma kwa wale wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa)
Samahani!
Mwimbo wako naufanyia ukaguzi !
Mamndenyi
ha ha haaa nimekuja kukushika. kwanini wangu tu.