Elections 2010 Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe

Elections 2010 Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe

Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa JJ Mnyika, hongera sana JJ. Mnyika kuwa mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Ubungo, hili ni Jimbo very strategic, ndio lenye the think tank ya nchi hii pale UDSM, ndio the power hub ya nchi hii, mitambo ya umeme wa nchi, ndio lenye uhai wa nchi hii, Wizara ya maji, ndio wenye ICT ya nchi hii, TCRA, ndio wenye viwango vya nchi hii, TBS, ndio wenye afya ya nchi hii TFDA, na ndio wenye the getways ya nchi hii Ubungo Stand na the most volatile area of Tanzania, Manzese, wale jamaa wa Manzese, uki wamobilize ukawaambie twendeni Magogoni tukamfurushe yule mpangaji pale, no one can stop them.

Hongera sana Chadema kushika hili jimbo the second most strategic baada ya Jimbo la Ilala.

Pia naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza Mkurugenzi wa TBC, Tido Muhando kuibadili TBC kutoka kuwa a Government TV Station hadi a Public Broadcasting station kwa kutoa haki sawa kwa vyama vyote wakati wa uchaguzi. Pia pongezi kwa Mtangazaji Shabani Kissu wa TBC-1.
Tangu kile kipindi cha Kiti Moto Kilipokufa, leo ndio nimeona tena kipindi cha level ile.

Big Up nyingine TBC-1, Big Up Tido, Big Up Shaabani Kissu!, Big Up uhuru wa Habari
Pasco
Mayalla yeye tujiulize yeye kayajuaje Mambo ya Chadema wakati sio mwana Chadema kumbuka anayoyajua ndani ya Chadema hua ni Yale mabaya tuu hajawahi ona mazuri hata siku Moja
Mkuu MAPITO Mwanza, vipi hapa?. Hili nalo ni baya tuu?.
P
 
kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa JJ Mnyika, hongera sana JJ. Mnyika kuwa mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Ubungo, hili ni Jimbo very strategic, ndio lenye the think tank ya nchi hii pale UDSM, ndio the power hub ya nchi hii, mitambo ya umeme wa nchi, ndio lenye uhai wa nchi hii, Wizara ya maji, ndio wenye ICT ya nchi hii, TCRA, ndio wenye viwango vya nchi hii, TBS, ndio wenye afya ya nchi hii TFDA, na ndio wenye the getways ya nchi hii Ubungo Stand na the most volatile area of Tanzania, Manzese, wale jamaa wa Manzese, uki wamobilize ukawaambie twendeni Magogoni tukamfurushe yule mpangaji pale, no one can stop them.

Hongera sana Chadema kushika hili jimbo the second most strategic baada ya Jimbo la Ilala.
Hii ni hongera in advance ya 2025
Mkuu, ukipata nafasi kiambie chama kuwa JJ siyo mtu mwenye charisma au mvuto wa public speaking, anafaa zaidi kufanya kazi za ofisini na kufuatilia masuala ya utekelezaji wa maazimio ya chama. Mtu anayefaa kutoa somo la hadharani ni mtu mwenye mvuto kusikilizwa, kwa hiyo chama kitafute mtu wa aina hiyo. JJ hana huo mvuto.
Mkuu Umkonto, UmkhontoweSizwe, utakuwa humjui vizuri JJ. Mnyika!, he is one of the very few fine and the good ones Chadema has!. JJ. Mnyika is very good kwenye data collection ila sio kwenye kushindilia misumari, ili Mnyika afanye vizuri he needs a team mzuri to play with, kwa sasa team play hiyo haipo Chadema!. Zamani JJ. Mnyika akiwa Bungeni huku Zitto Kabwe, kule Tundu Lissu, Mnyika ataibua hoja full of dataz, Zitto ambaye ni mjenga hoja mzuri, ataiongezea momentum kisha Lissu ambaye ni mlipuaji mzuri, atabutua!, Spika chali!. Hata mfugaji mzuri wa ambao, hawezi kufunga kama hakuna mtu wa kumpelekea mipira ya kubutua na kufunga mabao!.

Enzi zile wakati PPR ilikuwa ni PPR kweli, wakati vikao vya Bunge vikiendelea Dodoma, nikapenyezewa dossier fulani vyeti, kesho yake nilikwea the first flight to Dodoma, kumfuata JJ. Mnyika kumkabidhi Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Hata ule moto ambao Tundu Lissu huwa anawasha Bungeni from time to time, the data collector ni JJ Mnyika!, ilifikia kipindi tulimuomba Lissu apunguze kumpelekea moto Madam Speaker, Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.

Kwenye uchaguzi Mkuu wa 2010 JJ Mnyika ndie alikuwa mgombea wa kwanza kujihakikishia ushindi na aliyeutangaza ushindi wa JJ Mnyika sio mwana jf mwingine bali ni huyu huyu Elections 2010 - Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe

JJ Mnyika is damm good!, but hana team work nzuri to play with na kwa maoni yangu Chadema hii haina team work, angalia hapa Lissu anavyowaita viongozi wenzake Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Kiukweli kabisa uchaguzi wa 2025 upinzani wana kazi kweli kweli to regain back the control of what it used to have!.

P
 
Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa JJ Mnyika, hongera sana JJ. Mnyika kuwa mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Ubungo, hili ni Jimbo very strategic, ndio lenye the think tank ya nchi hii pale UDSM, ndio the power hub ya nchi hii, mitambo ya umeme wa nchi, ndio lenye uhai wa nchi hii, Wizara ya maji, ndio wenye ICT ya nchi hii, TCRA, ndio wenye viwango vya nchi hii, TBS, ndio wenye afya ya nchi hii TFDA, na ndio wenye the getways ya nchi hii Ubungo Stand na the most volatile area of Tanzania, Manzese, wale jamaa wa Manzese, uki wamobilize ukawaambie twendeni Magogoni tukamfurushe yule mpangaji pale, no one can stop them.

Hongera sana Chadema kushika hili jimbo the second most strategic baada ya Jimbo la Ilala.

Mama Hawa Ngumbi na CCM Kwish ney!, wamemuuliza swali provocative, na kweli akawa provoked, aka loose control na kutishia kupeleka watu mahakamani.

CCM itakuwa na kazi kubwa ya kumsafisha huyu mama dhidi ya tuhuma alizotwikwa, na kama zina chembe ya ukweli, hilo ndilo jeneza rasmi la mgombea wa CCM.

Pia naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza Mkurugenzi wa TBC, Tido Muhando kuibadili TBC kutoka kuwa a Government TV Station hadi a Public Broadcasting station kwa kutoa haki sawa kwa vyama vyote wakati wa uchaguzi. Pia pongezi kwa Mtangazaji Shabani Kissu wa TBC-1.
Tangu kile kipindi cha Kiti Moto Kilipokufa, leo ndio nimeona tena kipindi cha level ile.

Big Up nyingine TBC-1, Big Up Tido, Big Up Shaabani Kissu!, Big Up uhuru wa Habari
Pasco
Mkuu, kipindi unaandika hii makala ulikuwa bado haujawa polluted. Ni kipindi ambacho ulikuwa bado unasimia misingi ya taaluma yako ya uandishi wa habari. Hakuna formula katika kuishi, unaweza kusimama kwenye msimamo wa ukweli na haki na bado ukaendelea kupeta. Mfano mzuri ktk taaluma yako hii ni Tido Mhando. Hadi leo huwezi kumlinganisha na wale waliohamua kuwa chawa au vibaraka na kuinajisi misingi ya uandishi wa habari kwa lengo la kutafuta vyeo na maslahi binafisi.

Rais na serikali hawana fedha hisipokuwa wamekasimiwa mamlaka na wananchi kusimamia mapato na kodi za Watanzania. Ni wapumbavu tu wasiojielewa wanaodhani rasilimali na mapato ya nchi ni mali ya Rais na serikali yake.
 
Back
Top Bottom