- Thread starter
- #21
wronghilo swali ndilo wamelikimbia CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wronghilo swali ndilo wamelikimbia CCM
wrong
mkuu sijaona swali la maana hapo sema tu mgombea wako amewazidi uelewa wenzakeheko ccm kwa kujua kwamba haya maswali wagombea wasengeweza kujibu
Mgombea wa TLP ni PUMBA kama mwenyekiti wake wa chama
sioni maswali ya maana sijui nihamie star tv kwenye mamiss
Unapendelea mamiss wewe; kumbe ndio dhaifu wako; Taifa kwanza miss ni very low kwa mtalaam kama wewe;teteteteteh night kick
mkuu huyu mgombea wenu anaelimu gani, nimependa jinsi alivyojitahidi kujibu kwa hoja nzuriheko ccm kwa kujua kwamba haya maswali wagombea wasengeweza kujibu
tlp anajikanyaga na hajui kama lipo hajajibu swali
Kipaumbele cha mwenyekiti wake wa chama pia. Akiwaona anajichekesha tu.Unapendelea mamiss wewe; kumbe ndio dhaifu wako; Taifa kwanza miss ni very low kwa mtalaam kama wewe;teteteteteh night kick
obvious usingeona swali la maana ndio maana mkaweka mpira kwapani... LOLmkuu sijaona swali la maana hapo sema tu mgombea wako amewazidi uelewa wenzake