Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,533
Reaction score
3,595
Wakuu kwema.

Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi.

Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza.

Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo kukamilika.

Watu hali ngumu mtaani.

Utume mwema.

At Calvary
 
Maneno ya wanasiasa wanayoongea usiyape dhamana,muda ukifika watatoa ajira na kutangaza
 
Wakuu kwema.

Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi.

Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza.

Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo kukamilika.

Watu hali ngumu mtaani.

Utume mwema.

At Calvary
Hitaji ( Tayari lipo ).

Kuomba Kibali ( Kimeshaombwa )

Kikishatoka kifuatacho Ni Budget kwa kuangalia Wage bill.

Baada ya Happ kutangazwa watu waombe.

Hapo nadhani zinaweza kutangazwa mwezi wa 6 kuelekea kwenye Budget ya serikali mwezi wa Saba.
 
Siku hizi bajet za ajira sidhan kama zinafanyiwa kazi bungeni wanawasilisha walimu elfu kumi ajira elfu tano tena ndugu zao tu huku kuna vijana tangu 2015 Wako mtaani
 
Huh mpaka wa sita. Na ile ya kwenye bajeti tayari wameshaajiri?
 
Siku hizi bajet za ajira sidhan kama zinafanyiwa kazi bungeni wanawasilisha walimu elfu kumi ajira elfu tano tena ndugu zao tu huku kuna vijana tangu 2015 Wako mtaani
Duh
 
Hitaji ( Tayari lipo ).

Kuomba Kibali ( Kimeshaombwa )

Kikishatoka kifuatacho Ni Budget kwa kuangalia Wage bill.

Baada ya Happ kutangazwa watu waombe.

Hapo nadhani zinaweza kutangazwa mwezi wa 6 kuelekea kwenye Budget ya serikali mwezi wa Saba.
Imeisha iyoooo
 
Back
Top Bottom