At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
aiseeManeno ya wanasiasa wanayoongea usiyape dhamana,muda ukifika watato ajira na kutangaza
Hitaji ( Tayari lipo ).Wakuu kwema.
Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi.
Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza.
Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo kukamilika.
Watu hali ngumu mtaani.
Utume mwema.
At Calvary
Huh mpaka wa sita. Na ile ya kwenye bajeti tayari wameshaajiri?Hitaji ( Tayari lipo ).
Kuomba Kibali ( Kimeshaombwa )
Kikishatoka kifuatacho Ni Budget kwa kuangalia Wage bill.
Baada ya Happ kutangazwa watu waombe.
Hapo nadhani zinaweza kutangazwa mwezi wa 6 kuelekea kwenye Budget ya serikali mwezi wa Saba.
DuhSiku hizi bajet za ajira sidhan kama zinafanyiwa kazi bungeni wanawasilisha walimu elfu kumi ajira elfu tano tena ndugu zao tu huku kuna vijana tangu 2015 Wako mtaani
Imeisha iyooooHitaji ( Tayari lipo ).
Kuomba Kibali ( Kimeshaombwa )
Kikishatoka kifuatacho Ni Budget kwa kuangalia Wage bill.
Baada ya Happ kutangazwa watu waombe.
Hapo nadhani zinaweza kutangazwa mwezi wa 6 kuelekea kwenye Budget ya serikali mwezi wa Saba.