IzukeneJr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 758
- 753
Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya kusafirisha na soko zuri zaidi lipo sehemu gani katika nchi hizo.
Naamini kupitia post hii kuna mtu pia anaweza kujifunza na kuanza mchakato wa kufanya hizi exports. Ahsanteni