Wacha uwongo wako, Mchele super wa Uganda (Kawowo) ya 4500 siyo grade one. Ile ni Kahama grade. Wakati huku 3500 unapata super KyelaKinacho shangaza ni kwamba mchele mjini Kampala Uganda una bei nafuu na mzuri kupita bei ya mchele Dar es salaam Morogoro na Arusha, grade 1 mchele Kampala ni 4500Ugx ni sawa sawa na sh 3000Tzs wakati mchele grade one dar ni 3500Tzs. mkuu bora uutowe mwz uileta Dar kuliko kupeleka Kampala.
Utapeli huuPIga simu 0754 43 66 70 usaidiwe
Mchele ni wa Kamsamba huo Kyela hawana mchele mwingi sasa hivi mnaandikiwa ili mnunue mbegu ni ile ile ilipelekwa bonde la Sumbawanga ila ni mchele mzuri sana pia.Wacha uwongo wako, Mchele super wa Uganda (Kawowo) ya 4500 siyo grade one. Ile ni Kahama grade. Wakati huku 3500 unapata super Kyela
Kupeleka mchele Uganda tu unatoa simu aisee daah ndio maana kuendelea Tanzania ni ngumu sana wasizwa mnaangalia fursa sio kutoa msaada tena..PIga simu 0754 43 66 70 usaidiwe