HASIRA HASARA
Member
- Aug 21, 2012
- 17
- 0
Kwa ujuzi wangu hafifu, kuna chance ya wanafunzi 600 na ushee ya kukaa hostel, lakin wanafunzi wapo wengi takriban 7000... So, nakushauri uwahi sana or else utapanga. Jaribu kutembelea ifm.ac.tz halafu ingia kwenye "dean of students" kupata mpango mzima...
Aende mitaa ya bp or jolis mana kuna rum za kutosha 2 afu bei cheeeee sana