Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

HASIRA HASARA

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
17
Reaction score
0
Wana Jamvi mie nimepangwa hapo IFM...BA,,,,,Naishi Arusha naomba msaada kuhusu mchakato wa kupata chance ya HOSTEL
Nawasilisha wadau
 
Kwa ujuzi wangu hafifu, kuna chance ya wanafunzi 600 na ushee ya kukaa hostel, lakin wanafunzi wapo wengi takriban 7000... So, nakushauri uwahi sana or else utapanga. Jaribu kutembelea ifm.ac.tz halafu ingia kwenye "dean of students" kupata mpango mzima...
 
mbona sijaona dean of student kwenye site yao afu huwa wanalipa sh ngap?
 
Back
Top Bottom