Mchakato wa Katiba hauwezi kupata suluhu kwa kuwa waliopewa Jukumu la Sulumu wana amini Ushirikina

Mchakato wa Katiba hauwezi kupata suluhu kwa kuwa waliopewa Jukumu la Sulumu wana amini Ushirikina

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Asilimia kubwa ya Watawala wetu hawa amini Mawazo ya wadau bali mawazo na Ushauri wa waganga wa Kienyeji!!
Ukweli ni kwamba hapa tulipofikia hata mtu wa Kawaida anaweza kusitisha Bunge la Kabina lakini pamoja na Ushauri huu Kutolewa na baadhii ya Wazee wenye hekima huko CCM, Suala hili bado halijafanyiwa kazi!

Jambo la Kushangaza ni kwamba, Babu wa Loliondo (Mchawi) alipotoa Ushauri kwa serikali juu ya tiba ya Kishirikina , watawala hao hao walifanyia kazi ushauri huo na kupeleka ulinzi kule huku wao wenyewe wakiongoza kunywa tiba ya Kishirikina Chini ya ulinzi mkali.

Hata hivyo idadi ya watendaji wa Serikali iliyomiminika kule Loliondo inaonyesha dhahiri kuwa watawala wetu wengi ni wagonjwa wa magonjwa sugu kikiwemo kisukali na hivyo wana hasira na hawana mawazo ya kupanga shughuri za maendeleo za mda mrefu.Hili ndo tatizo la wao kudharau mawazo ya wananchi yaliyomo katika rasimu ya katiba mpya na kuweka ya kwao.
Rasimu ya Katiba imetolewa na wana CCM kwa asilimia kubwa huku mwenyekiti wa tume hiyo akiwa CCM, na sasa inapigwa na Wana CCM hao hao ambao wengi wao ndio waliohudhuria tiba ya Kikombe Loliondo!
View attachment 179751View attachment 179752
Angalia watawala hawa ,wanapinga Rasimu ya Katiba mpya lakini wanaunga mkono tiba ya Kishirikina, pamoja na viongozi wa dini kuwaonya lakini hawasikii kwa kuwa wana magonjwa sugu
 
Back
Top Bottom