Baraka Kasinge Member Joined Apr 4, 2016 Posts 60 Reaction score 69 Apr 8, 2016 #1 Uliishia wapi mbona haukukamilika?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Apr 9, 2016 #2 Kinaandaliwa Kura yake.
Mwelewa JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 2,343 Reaction score 3,284 Apr 27, 2016 #3 Mkuu ulipaswa uandike "mchakato uliishia wapi" sio kiliishia wapi? Anyway, haya mambo yanafanyika hovyo tu nchini mwetu. Tumetumia billions leo hakuna mwenye habari na mchakato wa katika mpya.
Mkuu ulipaswa uandike "mchakato uliishia wapi" sio kiliishia wapi? Anyway, haya mambo yanafanyika hovyo tu nchini mwetu. Tumetumia billions leo hakuna mwenye habari na mchakato wa katika mpya.