Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 379
- 125
pole sana mkuu,
ila kubadilsha jina kisa dini mimi kwangu naona haina faida! kwani kama ulkua unaitwa Mohamed John na sasa unaitwa Mohamed Hassan inakuongezea nini? Jina ni jna tu hata waweza itwa Dunia, Meza, Ngengemkeni, Bahari n.k na likawa jina lako!
Ushauri - Rudia jina lako la awali halafu acha udini
Kuna kitu kinaitwa deed pol, tafuta wakili akutengezee then unasaini halafu unapeleka kwa registrar of document...baada ya hapo unatumia jina lako jipya
Kihiyo..... Ulinunua au umeiba vyeti vya watu.
nenda ofisi za rita wanabadili na nyaraka zako zote zinaweza badilishwa kwa jina jipya utakalochagua..