dully santo
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 260
- 334
ila uwe na takrima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumia ulilonalo maana sasa hivi unadhani litakusaidia kitu chochote?
unataka kubadilisha jina la baba kwenye birth certificate au jina lako? Kama ni jina la baba, nenda rita, utapata muongozo. Lakini kama ni majina yako tu then tafuta mwanasheria akuandalie kitu kinaitwa deed poll. Utaenda kuifile wa register pale wizara ya aridhi. Utalipia 80000 baada ya wiki your name will officially change.
haisaidii najua! Sema mi nahisi simtendei haki mzee....istoshe he's still alive,
halafu ntakuja kuwachanganya watoto wangu na hizo id.
kwakuwa mzee wako yuko hai nadhani anajua ni namna gani hadi ikawa hiyo yaani wewe kutumia jina jingine kwa upande wa watoto wako tumia sasa la huyo mzee
Unatakiwa kuandaliwa Hati ya Kiapo ya Kubadili jina (Deed Poll for Changing name).wasiliana na Wakili.
ila uwe na takrima
Uhm...is it not too late,it was possible in his or her form2 b4 registration.me najua hvyo kama kna namna nyingne let's wait frm the guys over here!
Nimemlea mtoto wa ndugu yangu anatumia jina la urithi la babu yake naona kama tabia alizonazo zinasababishwa na hilo jina nataka kulibadilisha je nitakiwa kufanyaje ? mtoto yuko class 6 kwa sasa hivi