Kama we ni mwanasheria basi kazi ipoKuna kitu inatwa deedpol utaipota mwanashelia wa silikali Kisha kwa msajili wa vyeti inaghalimu 30000Tsh. Hiyo itakuwa na majina yako ya Zaman na Mapya, ikionesha kuwa aliye kuwa akitambulika kama X Sasa na kuendelea anatambulika kama Y. Ni check 0787215000 nikueleze zaid
Ulimuita Elton John niniNimemlea mtoto wa ndugu yangu anatumia jina la urithi la babu yake naona kama tabia alizonazo zinasababishwa na hilo jina nataka kulibadilisha je nitakiwa kufanyaje ? mtoto yuko class 6 kwa sasa hivi
ni "deed poll" sio deed poolsasa wataka uwe na jina gani? la kwako asili ama upate jipya?
na je hilo unalolitumia una cheti chake??
kama huna cheti cha jina unalolitumia sasa waweza pata cheti cha kuzaliwa kirahisi tu,na ukaendelea kutambuliwa kwa jina hilo,lakini kama wataka kujulikana kwa majina yote basi itabidi uende mahakamani ukaape na kupata kitu kinaitwa DEED POOL ili kukutambua kuwa wa zamani ndo wewe.
sijui kama umenipata hapo
Siyo rahisi kuingia kichwani mwake.pole sana mkuu,
ila kubadilsha jina kisa dini mimi kwangu naona haina faida! kwani kama ulkua unaitwa Mohamed John na sasa unaitwa Mohamed Hassan inakuongezea nini? Jina ni jna tu hata waweza itwa Dunia, Meza, Ngengemkeni, Bahari n.k na likawa jina lako!
Ushauri - Rudia jina lako la awali halafu acha udini