Mchakato wa kuanzisha Baraza la vijana la Taifa, umefika wapi?

Mchakato wa kuanzisha Baraza la vijana la Taifa, umefika wapi?

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,250
Reaction score
5,509
Ningependa kufahamu serikali imefikia wapi katika mchakato wa kuanzisha baraza la vijana la Taifa maana ni chombo muhimu sana katika uwezeshaji na usimamizi wa masuala ya vijana nchini
 
Back
Top Bottom