Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ni somo jipya au ni lile la zamani?Binti yangu analisoma,
Yupo darasa la tatu, na ana enjoy Sana...kila wakisoma lazima aje kunihadithia!! Nimeona impact yake...anatamanii Sana kujua zaidi juu ya Tanzania, nadhani kama likiendelea kufundishwa vizuri tutajenga Taifa la wazalendo haswaa!
Hatuna dira hata kdg tunaishi kwa matamko ya RaisTatizo hua hatuna ajenda za kitaifa badala yake hua tunasubilia rais aseme Kama ambavyo mawaziri hua wanasema eti ni maelekezo ya mh.rais kwahivyo magufuri alifariki mapema kabla hajaweka msukumo ko na wazo lake lilikufa siku ile ile.
Ni jipyaNi somo jipya au ni lile la zamani?
Ccm imeyapuuzaNaona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.
Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.
Ni miaka minne inapita sasa.
Business study, Divinity and Islamic ( BDI )Tahasusi za sasa : DHL ,BBC ,KFC etc
Lipo hadi chuo kikuu kama alivyoagiza JPM?Ni jipya
Wanasoma Kwa Kiswahili. wameanza mwaka huu.
Hapo sijajua..maana dogo ndo yupo kwenye Ile system ya kuishia darasa la sita.Lipo hadi chuo kikuu kama alivyoagiza JPM?
Kwa hiyo hiyo KFC ni kiswahili ,French na chemistry πππ€£π€£?Tahasusi za sasa : DHL ,BBC ,KFC etc
π π kama kuna KFC basi waweke Tahasusi MACDONALD ,na kama kuna BBC basi waweke Dochiwele na kama kuna DHL basi waanzishe tahasusi ya Fedex...mambo ni mengi sana.Kwa hiyo hiyo KFC ni kiswahili ,French na chemistry πππ€£π€£?
DHL -ni Divinity history na Languageπππππ?
Hahahahaha ni vituko hakika ni kupatwa kwa mchengerwa
Kauli yake sio msaafu kwamba lazima itekelezwe. Hiyo historia haitakuwa na maa a yoyote maana bado tuna wimbi kubwa mno la upumbavu. Labda tungekuwa na somo la uzalendo hapo sawa, wapumbavu hushindwa kutofautisha kati ya uzalendo kwa chama na uzalendo kwa nchi. Wengi ni wazalendo wa chama hasa ccmNaona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.
Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.
Ni miaka minne inapita sasa.
Ahaa, kwa hiyo wana somo lile lingine la historia ya kawaida pamoja na hili la historia ya Tanzania?Hapo sijajua..maana dogo ndo yupo kwenye Ile system ya kuishia darasa la sita.
Hata masomo anayosoma ni tofauti na mwenzie wa darasa la 4.
Maybe wao ndo watapanda nalo....
Ili somo ni Bora kulko divinity na Islamic afu magufuri hakua mzalendo wa cham ndo maana watu wengi aliofanya nao kazi aliwatoa nje ya siasa na upinzaniKauli yake sio msaafu kwamba lazima itekelezwe. Hiyo historia haitakuwa na maa a yoyote maana bado tuna wimbi kubwa mno la upumbavu. Labda tungekuwa na somo la uzalendo hapo sawa, wapumbavu hushindwa kutofautisha kati ya uzalendo kwa chama na uzalendo kwa nchi. Wengi ni wazalendo wa chama hasa ccm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hiyo KFC ni kiswahili ,French na chemistry [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]?
DHL -ni Divinity history na Language[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
Hahahahaha ni vituko hakika ni kupatwa kwa mchengerwa