Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.

Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.

Ni miaka minne inapita sasa.
Hili jambo lilifutwa.
 
Back
Top Bottom