Mkuu vipi unabadilisha online?Tayari,sasa rasmi mtu anaweza kubalisha combinations kupitia mfumo ramsi.
STUDENTS TAMISEMI SELF FORMS (SELFFORM) KUBADILI COMBINATION FORM FIVE NA VYUO VYA KATI. link hiyo ina kila kitu ..Mkuu vipi unabadilisha online?
NB:Kuchaguliwa Kwa Tahasusi husika hutegemea mambo mengi sio kwamba umeingia hapo umebadili ukajua umemaliza.1.Idadi ya Shule Kwa Tahasusi husika.2.Kiwango Cha ufaulu Kwa Mwaka husika n.k.Sasa Kuna mwingine ana CCC ya Chem,Phys na Bios anaweka PCB chagua la kwanza wakati Mwaka husika watu wamepiga A na B za kutosha.Ndio wanajikuta wanapelekwa HKL huko wanapagawa na kutupa kazi ya cancelling.Ni utaratibu unaoleta sintofahamu Maana wanaofanikiwa Kwa Tahasusi aliyochagua na Shule aliyochagua ni wachache Sana.STUDENTS TAMISEMI SELF FORMS (SELFFORM) KUBADILI COMBINATION FORM FIVE NA VYUO VYA KATI. link hiyo ina kila kitu ..
Asante hii ni useful mno kwanguSTUDENTS TAMISEMI SELF FORMS (SELFFORM) KUBADILI COMBINATION FORM FIVE NA VYUO VYA KATI. link hiyo ina kila kitu ..
Kweli kabisa ,tokea mfumo huu unanze mwaka 2018 mwaka jana malalamiko yalikuwa mengi watu kupangiwa vitu tofauti kabisa na walivyovichagua natumaini mwaka huu umakini utaongezeka kama miaka ya nyuma yake .NB:Kuchaguliwa Kwa Tahasusi husika hutegemea mambo mengi sio kwamba umeingia hapo umebadili ukajua umemaliza.1.Idadi ya Shule Kwa Tahasusi husika.2.Kiwango Cha ufaulu Kwa Mwaka husika n.k.Sasa Kuna mwingine ana CCC ya Chem,Phys na Bios anaweka PCB chagua la kwanza wakati Mwaka husika watu wamepiga A na B za kutosha.Ndio wanajikuta wanapelekwa HKL huko wanapagawa na kutupa kazi ya cancelling.Ni utaratibu unaoleta sintofahamu Maana wanaofanikiwa Kwa Tahasusi aliyochagua na Shule aliyochagua ni wachache Sana.