Mchakato wa kuboresha ELIMU yetu

Mchakato wa kuboresha ELIMU yetu

WOKHAYA

New Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Ninafikia kipindi unapozungumzia elimu bora, ni vizuri ikaeleweka vizuri kuwa ni pamoja na mfumo bora unaotekelezeka, uwe halisi kulingana na watakao utumia. Ukiwa unamtengenezea mbwa chakula alafu ukaona kichefu chefu sidhani kama chakula hicho ni kizuri hata wewe unaweza kukila. Elimu yetu si rahisi kuwa bora kama tu viongozi wetu hatasomesha wanao hapa. KWANI PILIPILI USIOILA YAKUWASHIA NINI? Tafakari
 
Back
Top Bottom