Tanzania ukiwa mwanasiasa wa chama cha upinzani unajeuka kuwa adui wa chama tawala na dola.
Wapinzani wananyanyasika, wanatekwa, wanafunguliwa kesi nzito nzito, wanafungwa jela na wengine kupoteza maisha.
Ni budget ya shilingi ngapi/au ni utaratibu gani unahitajika kufuta mfumo wa vyama vingi nchini?