Tetesi: Mchakato wa kuifanya Kigoma kuwa jiji umefikia pazuri

Tetesi: Mchakato wa kuifanya Kigoma kuwa jiji umefikia pazuri

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani.

Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu.
Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa Kwanza wa jiji la Kigoma.

Kila la heri Kigoma.
Leka tutigite
 
32_big.jpg

Kigoma ipi, hii hapa👆, hapana aisee.
Kigoma haina hiyo sifa zaidi ya ushirikina. HAKUNA miundombinu ya maana na haifai tu kuwa jiji labda kwa miak 50 mingine ijayo. Hii ni haibu kwa taifa kufanya Kigoma kuwa jiji.
 
Kigoma iwe jiji kabla ya Moshi hizi siasa zitachekesha ajabu. Kigoma ina miundombinu gani mizuri ya kufanya kuwa jiji? Kigoma ikiwa jiji hata Morogoro, Iringa na Bukoba nazo zitakuwa majiji
 
Sijapata kuona mji wa hovyo kama Kigoma, hili jiji halifai kabisa kuwa jiji. Kuna barabara moja tu ya maana toka ujiji kwenda Mwandiga, nakata rufaa kufanya Kigoma kuwa jiji kwani hii ni kashifa kwa taifa letu.
 
Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani.

Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu.
Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa Kwanza wa jiji la Kigoma.

Kila la heri Kigoma.
Leka tutigite

Umeamua kuanza kuisagia Sumu Kigoma.🤣 Chato, Mtwara, Bagamoyo (Pwani), Musoma mikoa yote hiyo haikuwezekana kuwa majiji,
Leo iwezekane Kigoma??!, What a hoax !!😏
 
Tuache utani, Tanzania ina jiji moja tu, nalo ni Dar es Salaam, miji kama Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya na Tanga si majiji ni siasa tu katika kujitukuza. Sasa ikiongezeka Kigoma itabidi miji mingine nayo itake kuwa majiji kwa vigezo na sifa watakazozipa wanasiasa wa kukurupuka
 
Sijapata kuona mji wa hovyo kama Kigoma, hili jiji halifai kabisa kuwa jiji. Kuna barabara moja tu ya maana toka ujiji kwenda Mwandiga, nakata rufaa kufanya Kigoma kuwa jiji kwani hii ni kashifa kwa taifa letu.
Usiishi Kwa kukalili, kwenye suala la Barabara somehow zimejengwa,but kuwa Jiji BIG NO
 
Back
Top Bottom