MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kabisa, ni 'haibu' haswaaa!View attachment 2632862
Kigoma ipi, hii hapaπ, hapana aisee.
Kigoma haina hiyo sifa zaidi ya ushirikina. HAKUNA miundombinu ya maana na haifai tu kuwa jiji labda kwa miak 50 mingine ijayo. Hii ni haibu kwa taifa kufanya Kigoma kuwa jiji.
Moshi daima. ππKigoma iwe jiji kabla ya Moshi hizi siasa zitachekesha ajabu.
Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani.
Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu.
Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa Kwanza wa jiji la Kigoma.
Kila la heri Kigoma.
Leka tutigite
Usiishi Kwa kukalili, kwenye suala la Barabara somehow zimejengwa,but kuwa Jiji BIG NOSijapata kuona mji wa hovyo kama Kigoma, hili jiji halifai kabisa kuwa jiji. Kuna barabara moja tu ya maana toka ujiji kwenda Mwandiga, nakata rufaa kufanya Kigoma kuwa jiji kwani hii ni kashifa kwa taifa letu.
Kile ni kijiji tuUsiishi Kwa kukalili, kwenye suala la Barabara somehow zimejengwa,but kuwa Jiji BIG NO