Mchakato wa kumpata Mrithi wa Askofu Shoo kuanza hivi karibuni

Mchakato wa kumpata Mrithi wa Askofu Shoo kuanza hivi karibuni

Safari ya kumsaka mrithi wa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, inatarajia kuanza wakati wowote kuanzia sasa wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Kanisa hilo kikitarajiwa kukaa ili kupokea majina matatu ya maaskofu waliopendekezwa kugombea wadhifa huo wa juu.
Haya mambo ya kugombea yanaashiri kutokuwepo amani ndani yake, kwanini hawakoki moto wasubiri moshi ujibu?
 
Unaona majina yote yanaanza na Doctor tupu!

Njoo kwa hawa wenzetu wa Dp world sasa.
Hawa wa diipii welidi sifa yao kubwa uweze kuongea kama chiriku tu inatosha.
 
Waumini tunataka mwenye hofu ya Mungu ambaye hawezi kunyamaza kukemea uovu unaofanyika nchini.mfano uuzwaji wa maliasili za nchi
Hayo ni matakwa na matamanio yako binafsi na Chama chako Cha siasa sio ya Mungu
 
Back
Top Bottom