Tetesi: Mchakato wa kumtangaza Mwalimu J.K Nyeree kuwa Mtakatifu

Wala sijausoma, sio relevant, This is why wakati mwingine na ushangaa ukatoliki, Utakatifu unakuwa determined na matendo ya mtu, sio umaarufu through a process ya Vikao.
Hakuna utakatifu unaotolewa kwa njia ya umaarufu.Wapo Watakatifu wengi tu ambao walikuwa hawajulikani kabisa lakini wakatangazwa Watakatifu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mungu na siasa

Sisemi wote ilaa ukiwa kiongozi wa siasa sekta yeyote ile pepo utaisikia tu ileeeeee
Si kweli....

Siasa inawahusu wanadamu...haimhusu MUNGU muumba....
 
JKN aliyaishi ?
Ndiyo sababu ya kufanya uchunguzi ili kujiridhisha, Na uchunguzi huenda ukachukua miaka na miaka, Kisha kama wataprove atatangazwa kuwa Mwenyeheri na baadaye Mtakatifu.NB; Mchakato wa kutangazwa kuwa Mtakatifu huenda ukachukua hata zaidi ya Karne kadhaa
 
Majizi mna amani ya kuendelea kuiba huyo babu yenu alikuwa mpuuzi sana na hili li mfumo alilo waachia
Sawa wewe usiye mwizi endelea na kutokua na amani....

Babu yetu ni MWENYE HERI....taifa aliliacha salama....ni lazima liendele kuwa hivyo [emoji1787][emoji1787]
 
Sawa wewe usiye mwizi endelea na kutokua na amani....

Babu yetu ni MWENYE HERI....taifa aliliacha salama....ni lazima liendele kuwa hivyo [emoji1787][emoji1787]
Siwezi kuwa na amani kwenye nchi ya majambazi
 
JKN huo utakatifu wake unatokana na nini kama sio umaarufu ?
Bado hajatangazwa kuwa Mtakatifu, Bali yalitolewa maoni ya kuanza mchakato wa kufuatilia, Kama itabainika hafai basi hawatamtangaza, Kama wataona anafaa basi atatangazwa
NB: Mtakatifu Paulo alikuwa muuaji (Sauli) Lakini akawa Mtakatifu.
 
Kwani huyo Paulo na JKN wana tofauti gani ?
 
Binadamu wote tunamapungufu na hatujakamilika kwenye jicho La alietuumba.

Ila ukweli nikwamba kuna wenzetu wametuzidi.
 
Wakati mkihangaika kutangaza wafu WATAKATIFU,

Sie tupo hai na ni WATAKATIFU,

Maana imeandikwa, WATAKATIFU Walio duniani, ndio ninaopendezwa nao!!

Pia imeandikwa, Iweni WATAKATIFU kama baba yenu alivyo mtakatifu maana hakuna atakayemwona baba asipokuwa mtakatifu.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…