Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafakari kwa kina chukua hatua,ucwe mtumwa wa siasaNyerere ni zawadi ya Mwenyezi Mungu kwetu watanzania [emoji120]
Alhamdulillahi thumma alhamdulillahi [emoji120]
Mfumo aliouasisi umelifanya taifa hili liendelee kusimama kwa AMANI , MSHIKAMANO NA UTULIVU.......
#Say No To Bigotry [emoji120]
#Say No To Hatred [emoji120]
#Say No To Racism[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
#DoNotDoHarm[emoji120]
NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji120]
Kuna wakati ilisemwasemwa kuwa hakuitwa na Mungu ila wahuni fulani walimlazimisha aende, kwanini tusifunge Novena kuwalaani watu haoMuwe na hakika yuko pamoja nasi kwa sala katika kuendelea kumwombea huyu mpendwa wetu Mwl. J.K. ambaye leo anatimiza miaka 20 tangu Mwenyezi Mungu amwite kwake.
Sisi hatuna huo ushubwadaHuyo ndo kabsa atasema inakosewa Abdul Sykes ndo apewe utakatifu[emoji38]
"Mchakato" ni 'formality' tu za kibinaadam. Mwalimu Nyerere alishapokelewa na Muumba wake na kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanyia dunia nzima.JULIUS KAMBARAGE NYERERE. BABA WA TAIFA LA TANGANYIKAA NA HATIMAE TANZANIA. BABA WA UTHUBUTU WA MAENDELEO YA NCHI YETU. MUASISI WA SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA. MPINGA UBAGUZI WA RANGI. MPIGANIA UKOMBOZI WA NCHI MBALIMBALI DUNIANI. MSULUHISHI WA MIGOGORO BARANI AFRIKA. MSOMI ALIECHUKIA UNYONYAJI NA UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA. RAIS ALIEKUFA MASIKINI. MPENDA DINI NA MHESHIMU DINI ZA WENGINE.
MY TAKE: JULIUS K. NYERERE ANASTAHILI KUWA MTAKATIFU. MCHAKATO UHARAKISHWE
budda kama una dhambi ni wewe na nakushauri mkiri Yesu Kristo kua BWANA na mwokozi unapata ondoleo la dhambi automaticallyHakuna Mwanadamu asiye na dhambi hata mmoja. Kumaanisha hakuna mtakatifu hata mmoja.
Kufufua Wafu na utakatifu ni vitu viwili tofauti.