JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu?
Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na hukamilika kwa takriban dakika 20
Chanjo yenyewe huchukua dakika 5, na muda wa wanaopata chanjo kusubiri katika eneo la uchunguzi kwa dakika 15 tu
=====
I’m too busy to get vaccinated. The appointments must take a while?
No. Although Pfizer-BioNTech and Moderna vaccines do require two appointments, they are quick at AU Health — most patients are finished in about 20 minutes.
The vaccination itself takes about 5 minutes, then patients are asked to wait in an observation area for 15 minutes.
Source: AU