Mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM uwe kama 2020

Mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM uwe kama 2020

KIBINDU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
239
Reaction score
468
Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe.

Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi.

Ubunge pia iwe hivyo hivyo.

Hata mgombea mwenye kura chache za wajumbe bado atakuwa na nafasi ya kuteuliwa na chama.
 
Wewe bana nenda katafute kura, acha kutafuta janja janja
 
Bila mabadiliko, hakuna na uchaguzi (no reforms no election).

Tunamaanisha hatutanii, vinginevyo tutakunukisha.
 
Back
Top Bottom