Mchakato wa kupiga kura Tanzania hauruhusu kuingiliwa na chama chochote, wenye hofu na mchakato wana hofu ya kushindwa

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Leo tujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi ili tupate uelewa wa pamoja juu ya mchakato huo katika ukuaji na uimarikaji wa demokrasia ya nchi yetu. Kabla ya kujadli na kuhitimisha ni vema tukafahamu kwa uchache:

Mchakato wa uchaguzi Tanzania naweza kusema upo karibu na ukamilifu, sio mkamilifu kwa sababu ni mchakato wa kibinadamu na uanadamu una mipaka ya ukamilifu. Tukilinganisha ni michakato inayotumiwa na nchi nyingine, wa Tanzania una upekee na upekee huo upo katika namna zifuatazo:
  1. Kwanza ni mchakato unaompa kila mgombea au unaokipa kila chama usawa katika kugombea. ni mchakato ambao haumpi au haukipi chama nafasi ya kujiona kimeshinda kabla ya matokeo ya mwisho kutangazwa.Hofu ya uchaguzi inakuwa juu na sawa kwa vyama vyote lakini tofauti ni kwamba vyama vingine vina hofu ya kushindwa.
  2. Pili, ni mchakato unaoratibiwa kwa umakini mkubwa licha ya kwamba ni mchakato wa kibinadamu lakini upo karibu na ukamilifu. Hautoi nafasi ya kuondoa ukamilifu huo.
  3. Ni mchakato usioingilia kabisa michakato inayofanywa na vyama vya siasa katika uteuzi wa wagombea, ni jukumu la chama kuchagua wagombea wanaowataka na wanaotakiwa na wapigakura.

Baada ya dodoso hizo tuanze sasa kujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi:

Kupiga kura:
ni zoezi linalosimiwa kwa ukaribu mkubwa na vyama vya siasa vyenye wagombea kwenye nafasi za ugombea. mchakato unaruhusu mawakala wa vyama vya siasa kuwepo kwenye vituo vya kupigia kura. usimamizi wa mawakala unaondoa mashaka yoyote kwenye zoezi hilo na kufanya kuwa ni mchakato ulio karibu na ukamilifu

Kuhesabu kura:
Baada ya kura kupigwa na masanduku kufungwa kwa ajili ya kuanza zoezi la kuzihesabu, tunaona hakuna sehemu kura ambazo hazijapigwa zinaweza kuhesabiwa na bado zoezi hili linasimamiwa kwa ukaribu na mawakala wa vyama vyote.

Kutangaza matokeo:
baada ya umakini mkubwa kwenye zoezi la kuhesabu kura likishuhudiwa na mawakala wa vyama, zoezi la kutangaza ndio linalofuata. Hapa yanatangazwa matokeo ya kura zilizopigwa ziwe ni nzima au zilizoharibika. Mpaka hapo hatuoni mahali popote kwenye mchakato huu kura ambazo hazijapigwa zinaweza kuhesabiwa na matokeo yake kutangazwa.

Kutangaza mshindi:
zoezi hili ndio huwa linalalamikiwa sana na huku michakato mingine ikisemwa ilikuwa sawa. baada ya matokeo kutangazwa na kujulikana ni kawaida mwenye matokeo makubwa kuliko wengine ndio anatangazwa mshindi. Kwa nini mchakato huu unalalamikiwa sana?

Mpaka mchakato wa kupiga kura mpaka kutangazwa mshindi unakamilika hakuna mahali amabao mchakato unaweza kuingiliwa na yeyote au Chama Chochote kwa sababu ni mchakato ambao upo karibu na ukamilifu wa kuzuia dosari na makosa ya kuepukika.
 
Hivi nyie watu ni nani aliyewaloga!?
 
Wanaingiliwa wazee na watoto sembuse mchakato wa kura mbona hiyo ni kazi ya ccm kwa miaka yote hata sasa
 
Back
Top Bottom