Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

Mo aachane na Simba SC, ni ujinga uwe mwekezaji then uwe na hisa pungufu na pia ukose final say, huo ni upuuzi
 
Kwani hao 51% ni mtu mmoja mpaka useme Hana nguvu?
 
Mm Bado sijaelewa!
Huyo mwenye hisa asilimia 49, anapataje tena Nguvu wakati tayari 51 ziko kwa wanachama!
Na kama mchachakato ulifika FCC wakaona uko sawa, wakatoa baraka mchakato uendelee- hicho kipengere tata Cha Rita hawakukiona?
 
Back
Top Bottom