Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwa hiyo ni nguvu gani ambazo hao RITA wanasema 51% mmenyimwa?Mie simtetei mangungu, mie ni wale tunataka 51% iwe na nguvu ,na kwenye kampeni nilikuwepo
Sasa hilo wanatakiwa rita waseme au bmt ,ama wanachama.wenyewe warudie kusoma katiba na makubaliano ya uwekezaji walisaini vipiKwa hiyo ni nguvu gani ambazo hao RITA wanasema 51% mmenyimwa?
Itakuwaje na Nguvu, if wanachoweka mezani hakipo?Mie simtetei mangungu, mie ni wale tunataka 51% iwe na nguvu ,na kwenye kampeni nilikuwepo
Good point. Hizo hisa za 51% wamezikalia hazina thamani yoyote kipesa na haziisaidii klabu kwa sasa.Itakuwaje na Nguvu, if wanachoweka mezani hakipo?
Wakiziuza hizo hisa kwa wanachama warise hizo B20+ ndio watapata nguvu.
51% inakula neema ya klub kupitia mangunguGood point. Hizo hisa za 51% wamezikalia hazina thamani yoyote kipesa na haziisaidii klabu kwa sasa.