Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi mkuu, n.k.
Tofauti na CCM, mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi ndani ya CHADEMA umevuta hisia kali na ushiriki wa mamilioni ya watanzania na watu wengine Africa Mashariki na Duniani kote. Jambo hili limedhihirisha kuwa CDM ni chama chenye nguvu na ushawishi mkubwa zaidi kuliko CCM.
Ila ifikapo wakati wa uchaguzi mkuu, demokrasi hupokwa na kubadilisha kabisa matakwa ya wananchi kupitia dola na tume ya uchaguzi isiyokuwa huru.