Kauli ya Kuwa eti Simba ilipangwa kundi dhaifu, hivi wewe akili zako Zina Akili kweli? Hujielewi kwamba kwa ajira uliyonayo unasikilizwa na kufuatiliwa na watu ambao baadhi hawajui lolote na wanategemea Kila wanalolisikia kutoka katika vyombo vya habari ambavyo Kuna waajiriwa kama wewe ni habari sahihi, lakini pengine si sahihi ni mawazo yako wewe binafsi.
Hivi wewe eti ni mchambuzi! Hivi kwenye group stage Kuna timu DHAIFU pale? Kweli unakaa ktk kipaza sauti na kuwaaminisha wanaokusikiliza eti timu Fulani imepangwa na timu dhaifu.
Usidanganye wasikilizaji wako na pia uelewe kuwa katika mashindano ngazi ya group stage and above hakuna timu dhaifu hata moja. Unawaambia nini wasikilizaji wako Kwa timu kama Al-Haly ya Misri inayoshinda goli moja tu na kuondoka na point 3 katika michezo yake, je, ni mbovu?
Au Kwa nini Ihefu iliyoifunga Young Africa isishiriki maana Ihefu ni bingwa wa Yanga ambayo Yanga ni mbabe wa Waarabu CRB, au Kwa nini Namungo aliye toka suluhu na Simba asishiriki?
We acha unazi wako huo! Maneno yako hayo kayaongelee kwenye vijiwe vya kahawa sio nyuma ya microphones mnajishushia heshima. Acha hizo!!
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app