Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

" Prof Nabi anngepewa mechi Ile ya Simba vs wydadi basi Ile mechi isingefika hata kwenye matuta, ingeishia dk ya 90 wydadi kafungwa Tena goli sio chini ya Moja" farasi wa vita (2023)

Sababu

Prof Nabi ni bingwa wa kusoma mchezo ( genius) that's y kipindi Cha pili lazima upasuke.

Je!!! unadhani prof Nabi ana vitu Gani special

View attachment 2605801
Ilikuwaje akafurushwa ligi ya mabingwa na kuangukia mashindano ya ndondo?
 
nabi huyu huyu aliyeishindwa ahilal ndo nabi mnae muongelea au mwingine..kama ni yule wa yanga hana uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya club bingwa.ndio maana alitolewa mapema akadokea shirikisho.wachambuzi uchwara acheni kutudhihirishia huo wehu wenu,na wew mleta mada umeuleta huu uzi ili kutuonyesha kwamba yanga wote hamjitambui pia hamna kumbukumbu vichwan au?
ifike hatua wabongo tujielewe basi
 
Mbona kipindi cha pili kwa Simba Sc huyo Nabi hakuusoma mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mechi haikuwa muhimu kwake mkuu..... focus yake ilikuwa ni kimataifa
 
" Prof Nabi anngepewa mechi Ile ya Simba vs wydadi basi Ile mechi isingefika hata kwenye matuta, ingeishia dk ya 90 wydadi kafungwa Tena goli sio chini ya Moja" farasi wa vita (2023)

Sababu

Prof Nabi ni bingwa wa kusoma mchezo ( genius) that's y kipindi Cha pili lazima upasuke.

Je!!! unadhani prof Nabi ana vitu Gani special

View attachment 2605801
Anamzungumzia Nabi huyu huyu aliyeshindwa kuwatoa Al Hilal ya Sudan chini ya Ibenge au Nabi huyu alishindwa kutamba mbele ya Roberthno wa Simba, au mimi ndo sielewi?¡......
 
Simba mngekula hata 5 Kwa al hilal
 
Back
Top Bottom