Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

Ilikuwaje akafurushwa ligi ya mabingwa na kuangukia mashindano ya ndondo?
 
nabi huyu huyu aliyeishindwa ahilal ndo nabi mnae muongelea au mwingine..kama ni yule wa yanga hana uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya club bingwa.ndio maana alitolewa mapema akadokea shirikisho.wachambuzi uchwara acheni kutudhihirishia huo wehu wenu,na wew mleta mada umeuleta huu uzi ili kutuonyesha kwamba yanga wote hamjitambui pia hamna kumbukumbu vichwan au?
ifike hatua wabongo tujielewe basi
 
Mbona kipindi cha pili kwa Simba Sc huyo Nabi hakuusoma mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona kipindi cha pili kwa Simba Sc huyo Nabi hakuusoma mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi haikuwa muhimu kwake mkuu..... focus yake ilikuwa ni kimataifa
 
Anamzungumzia Nabi huyu huyu aliyeshindwa kuwatoa Al Hilal ya Sudan chini ya Ibenge au Nabi huyu alishindwa kutamba mbele ya Roberthno wa Simba, au mimi ndo sielewi?¡......
 
Anamzungumzia Nabi huyu huyu aliyeshindwa kuwatoa Al Hilal ya Sudan chini ya Ibenge au Nabi huyu alishindwa kutamba mbele ya Roberthno wa Simba, au mimi ndo sielewi?¡......
Simba mngekula hata 5 Kwa al hilal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…