Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima.

Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita.

Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga chuo maalum cha kupika Wachambuzi bora na mahiri wa Michezo (hasa Soka) kwa Tanzania ili tuondokane na Wachambuzi wabahatishaji na wacheza kamari tulionao kwa sasa Tanzania.
 
Itafahamika tu maana Hawa watacheza na tutawaona.
 
"Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima.

Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita.

Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga chuo maalum cha kupika Wachambuzi bora na mahiri wa Michezo (hasa Soka) kwa Tanzania ili tuondokane na Wachambuzi wabahatishaji na wacheza kamari tulionao kwa sasa Tanzania.
Nakubaliana na wewe, bila chuo tutaendelea kudanganywa na wasaka teuzi wanaojiita wachambuzi. Mtu akiona kuna nafasi Yanga anasifia usajili wa Yikpe, akiona kuna nafasi Simba anamsifia Okwa ni kama Messi.
 
Ipe akili yako nafasi ya kupumzika ili itafakari kwa makini.
 
Wachambuzi wengi wa kibongo huwa wanachambua kishabiki zaidi badala ya uhalisia, hawna weledi kabisa.
 
Back
Top Bottom