Mchambuzi: Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kucheza Al Ahly

"Hakuna mchezaji wa klabu ya Simba anayeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha klabu ya Al Ahly (ya Misri) hakuna hata mmoja"
Mkuu, haya mashindano utopolo hawapo! Najua ligi zimesimama kuyapisha mashindano haya, na hakuna cha kuripoti. Lakini walau si ungekuwa unachambua hali ya mazoezi ya Skudu huko kambini?
 
Mkuu, haya mashindano utopolo hawapo! Najua ligi zimesimama kuyapisha mashindano haya, na hakuna cha kuripoti. Lakini walau si ungekuwa unachambua hali ya mazoezi ya Skudu huko kambini?
[emoji23]
 
Mtasema na bado mtasema sana. Daaaaadadeeeeeki. #HAIWAHUSU
 
Huyo mchambuzi yeye ana uwezo wa kuwa kocha?
 
Tukipigwa nyingi ni sisi SSC, timu pekee ukanda wa East and Central Arica kushiriki mashindano haya yenye heshima ya kipekee Africa. Nyie wengine #HAYAWAHUSU
Tp mazembe wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…