"Mchambuzi" huyu wa Clouds fm alimaanisha nini na akafuta hii tweet chonganishi?

"Mchambuzi" huyu wa Clouds fm alimaanisha nini na akafuta hii tweet chonganishi?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.

Screenshot 2022-04-07 at 21.42.04.png
 
Mchaga na mpira wapi na wapi? Akwende akachambue matambiko na unywaji wa mbege huko.
 
Priva ni zero kabisa

Kasoma Udom bachelor of laws na ni empty set kwenye sheria ajabu kapata mchongo yuko hapo
Ila hajui kitu
Hata michael mwebe alimchana
 
Back
Top Bottom