njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Huyu home boy anazingua sanaa...uchambuz haujui sema amebarikiwa kuwa na mdomo wa kuchamba tuMchaga na mpira wapi na wapi? Akwende akachambue matambiko na unywaji wa mbege huko.
Ni mechi gani ni team gani? Mbona kafuta tweet na kaandika kimafumbo?Ukweli usemwe na ni kweli limetokea!!!
Akina Leodgar Tenga, Christopher Akex, Dida, etc, hawa ni wachaga na wamecheza mpira kwa viwango bora kabisa. Punguza domo.Mchaga na mpira wapi na wapi? Akwende akachambue matambiko na unywaji wa mbege huko.
Sawa mankaAkina Leodgar Tenga, Christopher Akex, Dida, etc, hawa ni wachaga na wamecheza mpira kwa viwango bora kabisa. Punguza domo.
Sasa Hilo kamuulize mwenyewe kwani we nani unampamgia aina ya uandishi?ni mechi gani ni team gani? mbona kafuta tweet na kaandika kimafumbo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchaga na mpira wapi na wapi? Akwende akachambue matambiko na unywaji wa mbege huko.
kuna kabila la wachambuzi?Mchaga na mpira wapi na wapi? Akwende akachambue matambiko na unywaji wa mbege huko.
Naona umeanza kuwashwa tk.Sawa manka