Mchambuzi: Kocha mpya Simba hatadumu muda mrefu

Hata huyu anaweza amua kuondoka mwenyewe au kufukuzwa pia, ndio ukocha ulivyo, siyo kazi ya kudumu

Bayern mwaka jana wamefukuza kocha huku wakiwa robo fainali CL na walikua wanaongoza ligi
Daaah hao wana zingua sasa
 
Nabi kabla hajaja yanga alidumu team gani msimu mzima? Kwa nn unahisi na hku hatodumu makocha ndio walivyo huwa wanaangalia maslahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…