Mchambuzi: Kocha mpya Simba hatadumu muda mrefu

Mchambuzi: Kocha mpya Simba hatadumu muda mrefu

Hata huyu anaweza amua kuondoka mwenyewe au kufukuzwa pia, ndio ukocha ulivyo, siyo kazi ya kudumu

Bayern mwaka jana wamefukuza kocha huku wakiwa robo fainali CL na walikua wanaongoza ligi
Daaah hao wana zingua sasa
 
Benchika the great [emoji91]!!

Abdelhak Benchika ni kocha ambaye hawezi kudumu kwenye timu Yako Kwa muda mrefu kama Kuna magumashi mengi ....Huyu ni kocha ambaye hapendi Magumashi.

Benchika hupenda maamuzi yake yaheshimike kitu ambacho kilumuudhi pale USM Alger ni kuondoka Kwa Abdelrahmane Meziane Bentahar nyota ambaye alikuwa tishio Kwa wapinzani ndani ya Kikosi chake .

Tangu mwaka 2009 Hadi leo ni timu mbili tuu ambazo amewahi kukaa misimu miwili nazo ni IR Tanger ya Morocco [emoji1173] na ndugu zao Difaa El Jadida .

Ndani ya miaka 10 Abdelhak Benchika amefundisha timu 13 tofauti hapa unapata picha kwamba Benchika siku zote hawezi kukaa ndani ya timu Moja Kwa muda mrefu.

Tangu mwaka 2020 @simbasctanzania inakuwa Klabu ya Tano kunolewa na Abdelhak Benchika.

2020 to 2023 Benchika [emoji116]:

1. Oujida mechi [emoji2522]- 30
2. Difaa El Jadida mechi [emoji2522]-48
3 . RS Berkane mechi [emoji2522]-11
4. USM Alger mechi [emoji2522]-34
5. Simba SC [emoji2522] - ????

Je bila Uongozi wa @simbasctanzania
Upoa tayari kumpa kocha huyu Kila Atakacho bila magumashi yao Ili awapeleke nchi ya Ahadi ???

[emoji117]WEWE KAMA MDAU WA SOKA UNAFIKIRI BENCHIKA ATADUMU MUDA MREFU SIMBA .

[emoji445][emoji2957]Kila nikiota namwona Valentine Day [emoji257] akiwa kwao anakula Bata ufukweni na wajukuu zake baada ya kukimbia michongo michongo [emoji125][emoji445]

#simba #simbasc #NguvuMoja #AfricanFootball

#mpekeo_mtandalaView attachment 2827155
Nabi kabla hajaja yanga alidumu team gani msimu mzima? Kwa nn unahisi na hku hatodumu makocha ndio walivyo huwa wanaangalia maslahi.
 
Back
Top Bottom