Mchambuzi matata Shaffih Dauda abadili gia angani...

We motivate you kamahujui sasa, Leo usingefika hapo kwa ngekewa kama yanga asingekuwa wakimataifa

Mmemmotivate nani nyie wanga tu

Hapo roho zenu nyeusiiiiiiiiii na vijiba vya roho
 
Wakati unagombania nafasi ya tano wewe nakina kagera sugar yanga ana panda ndege kwenda kucheza na mabingwa wenzie
 
Mara ya mwisho Yanga kushiriki makundi 1998 Yanga alimaliza kundi lake na pointi 2 magoli ya kufunga 7 na kufungwa 22.
Alikuwa wa mwisho. Kuna mjinga hapa anajivunia kwamba hiyo ni achievement.Au alikuwa hajazaliwa?
 
Walishiriki kwenye makundi kwenye Confederation Cup mwaka jana walikuwa pia wa mwisho baada ya kufanywa jamvi na Rayon ,Gor Mahia na USM Algiers.
 
Mara ya mwisho Yanga kushiriki makundi 1998 Yanga alimaliza kundi lake na pointi 2 magoli ya kufunga 7 na kufungwa 22.
Alikuwa wa mwisho. Kuna mjinga hapa anajivunia kwamba hiyo ni achievement.Au alikuwa hajazaliwa?
Yaani hao jamaa na mapoyoyo yanawaza kupanda ndege na kula msosi kwenye ndege lakini uwanjani hamna kitu...
Hivi najiuliza mchezaji kasajiliwa Yanga akatangaze kuombaomba bora hata wakachezee mwadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hapo ilikuwa nane bora sio 16 bora
Mara ya mwisho Yanga kushiriki makundi 1998 Yanga alimaliza kundi lake na pointi 2 magoli ya kufunga 7 na kufungwa 22.
Alikuwa wa mwisho. Kuna mjinga hapa anajivunia kwamba hiyo ni achievement.Au alikuwa hajazaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unagombania nafasi ya tano wewe nakina kagera sugar yanga ana panda ndege kwenda kucheza na mabingwa wenzie

Halafu akafanya nn huko na kipindi hicho fuba mlikuwa nalo????
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom