Mchambuzi: point 4 za CAFCL ni sawa na 12 point za shirikisho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya kuangalia michuano yote based on. Stiffness/ ugumu .na ubora wa wachezaji na ukamiaji wa timu na timu/ udhaifu wa michuano ya shirikisho mbele ya club bingwa

Leo wachambuzi tumekuja ku draw conclusion Kwamba ligi ya mabingwa ni bora mara 10 ya kombe la wamama ( shirikisho)

Maana yake Nini
Points 4 za club bingwa ni sawa na points 12 za kombe la shirikisho..but other factors remain constant

NB: kubali au kataa !!! Kwa points
1736257956021.jpg
 
Sawa kwa maana hiyo Yanga wana Point 12 sio? Si 4x3 babaa.

Mtavuka makundi kwa stail hii aiseee
 
Unajua lengo la kuanzishwa CAF super cup? Ili kufuta pia dhana hyo ya kusema kombe la wamama,,,na mabingwa wa CAF super cup miaka miwili nyuma ni USMA na zamalek wakitokea shirikisho dhidi ya mabingwa wa Champions League. Kwahy club bora africa kwa misimu miwili zimetoka shirikisho.
 
Hata hivyo sio kweli kwamba timu za shirikisho hazina ubora,,,hii inategemea pia na ligi inakotoka timu....mfano timu iliyoshika nafasi ya 3, Morocco,Egypt,Algeria au South inakua ni timu bora ambayo ingeweza kufanya vizuri hata CAFCL...

Ongeza na Simba.
 
Factor ni nyingi mkuu
 
Sio zote
 
Back
Top Bottom