adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Mfano ni mdogo.Kivp mkuu
1.Yanga ikiwa Shirikisho utaambiwa habari kama hizo ,kipindi hiyo Simba wapo kule Klabu Bingwa,huenda Vice versa.
2.Hizi team zito itokee zikapata msoto kama Kenta kwenye medani za Kimataifa(Kwa Africa) the same song utsikiliza kutoka kwa wachambuzi wasio na akili wa Kitanzania.
3.Kumbe kinachotakiwa kama Taifa ni kuendelea kutetea Team hizo..mana kwa mafanikio yao wanazidi kukuza vipaji na kufanya vijana watamani kufika huko haijalishi kwa level ipi.
4.Wajifunze kwa Wenzutu huko,UEFA kwa sasa imegawanyika ikiwa na CHAMPIONS,EUROPA,CONFERENCE..mavitu kibao,hao.sio.wajinga wanaona mbali.
5.Ni vitu vidogo kwa mitazamo yao yenye uelewa mdogo ila kuna impact kubwa sana hizi team zinapofikia kwa sasa.Tunatamani sana,Yanga,Simba,Azam,na wote walipo ligi kuu wafikie hatua ambazo tuogopeke sio kuwa matako wazi kama watangazi wetu na wachambuzi wasio na akili.