Sawa Simba wanacheza redeYanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Hata hivyo sio kweli kwamba timu za shirikisho hazina ubora,,,hii inategemea pia na ligi inakotoka timu....mfano timu iliyoshika nafasi ya 3, Morocco,Egypt,Algeria au South inakua ni timu bora ambayo ingeweza kufanya vizuri hata CAFCL...Unajua lengo la kuanzishwa CAF super cup? Ili kufuta pia dhana hyo ya kusema kombe la wamama,,,na mabingwa wa CAF super cup miaka miwili nyuma ni USMA na zamalek wakitokea shirikisho dhidi ya mabingwa wa Champions League. Kwahy club bora africa kwa misimu miwili zimetoka shirikisho.
Factor ni nyingi mkuuUnajua lengo la kuanzishwa CAF super cup? Ili kufuta pia dhana hyo ya kusema kombe la wamama,,,na mabingwa wa CAF super cup miaka miwili nyuma ni USMA na zamalek wakitokea shirikisho dhidi ya mabingwa wa Champions League. Kwahy club bora africa kwa misimu miwili zimetoka shirikisho.
Sio zoteHata hivyo sio kweli kwamba timu za shirikisho hazina ubora,,,hii inategemea pia na ligi inakotoka timu....mfano timu iliyoshika nafasi ya 3, Morocco,Egypt,Algeria au South inakua ni timu bora ambayo ingeweza kufanya vizuri hata CAFCL...
Ongeza na Simba.