Mchambuzi: point 4 za CAFCL ni sawa na 12 point za shirikisho

Kivp mkuu
Mfano ni mdogo.
1.Yanga ikiwa Shirikisho utaambiwa habari kama hizo ,kipindi hiyo Simba wapo kule Klabu Bingwa,huenda Vice versa.

2.Hizi team zito itokee zikapata msoto kama Kenta kwenye medani za Kimataifa(Kwa Africa) the same song utsikiliza kutoka kwa wachambuzi wasio na akili wa Kitanzania.

3.Kumbe kinachotakiwa kama Taifa ni kuendelea kutetea Team hizo..mana kwa mafanikio yao wanazidi kukuza vipaji na kufanya vijana watamani kufika huko haijalishi kwa level ipi.

4.Wajifunze kwa Wenzutu huko,UEFA kwa sasa imegawanyika ikiwa na CHAMPIONS,EUROPA,CONFERENCE..mavitu kibao,hao.sio.wajinga wanaona mbali.

5.Ni vitu vidogo kwa mitazamo yao yenye uelewa mdogo ila kuna impact kubwa sana hizi team zinapofikia kwa sasa.Tunatamani sana,Yanga,Simba,Azam,na wote walipo ligi kuu wafikie hatua ambazo tuogopeke sio kuwa matako wazi kama watangazi wetu na wachambuzi wasio na akili.
 
Me Huwa nakubali sana Kaduguda Kiongozi pale Simba aliyesema ati shirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
 
Asante Jakaya. Najua hili bandiko umeshirikiana na Mzee Sunday Manara kuliandikaπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜ƒ

Natumai Mzee Mpili na Magoma nao watalielewaπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Asante Jakaya. Najua hili bandiko umeshirikiana na Mzee Sunday Manara kuliandika

Natumai Mzee Mpili na Magoma nao watalielewa
Sijui mzee rage aliwaza nini, alipowachukua MBU WATATU, akawajumlisha then thamani yake ndo likawa jina la makolo yaani MBUMBUMBU.
 
Sijui mzee rage aliwaza nini, alipowachukua MBU WATATU, akawajumlisha then thamani yake ndo likawa jina la makolo yaani MBUMBUMBU.
Kabisa.. aliyesababisha Yanga waitwe utopolo naye ni mwanayanga... Sijui aliwaza nini!?
 
Teh teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…