McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema maandamano yoyote yenye tija ni lazima yabebe ajenda maalum na yafanyike kwa kufuata utaratibu wa kisheria, ikiwemo kupata kibali kutoka mamlaka husika kabla ya kufanyika kwake.
Akizungumza katika Mjadala Maalum wa Jambo TV leo Novemba 6, 2025, alisema:
“Maandamano huwa ajenda. Kuna ajenda gani? Lazima kuwe na mabango, watu waseme tumeandamana kwa ajili ya nini. Lakini hakukuwepo. Ukirudi kwenye utaratibu wa kuomba kibali, kutokuwa na kibali kunaleta mazingira ya kutokuhalalisha maandamano,”